Wengi Wamejiuliza Kwann Mh. Uhuru Alikatiza Hotuba yake na Kukaa kimya kwa DK Chache…
Jibu ni Kuwa Amekaa Kimya Kupisha ADHANA iliyokuwa Inatolewa kwenye Msikiti wa Gadafi Uliopo Karibu Kabisa na Uwanja wa Jamhuri…
Adhana ni Wito kwa Waislam Kwenda kwenye Ibada na Hapa Mh. Uhuru Licha ya Kuwa yeye cyo Muumin wa Dini ya Kiislam Ameonyesha Ukubwa wa Mungu na Namna Ambavyo Tunatakiwa Kuyaheshimu Mambo ya Mungu…
Ni Waislam Wangapi Hatufanyi Kama Alivyofanya Mh. Uhuru na Tumekuwa Tukiendelea na Mambo Yetu Wakati Adhana Inatolewa
Tuna Jambo la Kujifunza Kupitia Hili la Leo kwa Mh. Rais wa Kenya Uhuru Kenyata
Tuendelee Kumuomba Allah
Facebook Comments